Lyrics
Amen lyrics - Mathias Walichupa
...
Ninayo sababu ya kusimama mbele za watu kwa ujasiri, mmmmhhh niziseme shuhuda zako Bwana Wangu jinsi Wewe ulivyonisitiri, na kama ungeniacha me nisingeweza ningeliangamia angamia kwa Neema yako nimeweza maana umenisimamia, simamia,
Najitabiria mabaya yote hayana nafasi, kwa jina la Yesu ninakiri kupokea ushindi, umo uwezo kinywani mwangu(Amen)
nikitamka(Amen)
inatimia (Amen)
sawasawa na kusudi lako(Amen)
Hata kama sioni dalili (Amen)
Nina imani nawee utafanya Yesuu(Amen)
Oouuhhhh
Kama ni Mali , fedha na dhahabu mimi nitavipata tu, ambavyo wazazi Wangu hawakuvipata nitavipata tu, kuongezeka imani niyashinde majaribu nitafanikiwa kuishi utakatifu niione Mbingu nitafanikiwa
Najua hali ngumu zinakikomo si zakudumu ila Neno la Mungu na mipango yake inadumu milelee,
Najitabiria mabaya yote hayana nafasi, kwa jina la Yesu ninakiri kupokea ushindi, umo uwezo kinywani mwangu(Amen)
nikitamka(Amen)
inatimia (Amen)
sawasawa na kusudi lako(Amen)
Hata kama sioni dalili (Amen)
Nina imani nawee utafanya Yesuu(Amen)
Oouuhhhh
Ooouuhhh..
Hata kama sioni dalili (Amen)
Nina imani nawee utafanya Yesuu(Amen)
Oouuhhhh
End of Amen lyrics - Mathias Walichupa
Amen lyrics - Mathias Walichupa
Amen lyrics - Mathias Walichupa
Amen lyrics - Mathias Walichupa
Amen lyrics - Mathias Walichupa
Amen lyrics - Mathias Walichupa